"Wale wanaojitokeza kutupa misaada, nataka niwahakikishie ile misaada ni ya masharti. Unaweza ukapewa masharti kwamba usikohoe na kikohozi kinakujaga tu. Kwa hiyo ni lazima watanzania tujisimamie sisi wenyewe. Na tukisimama sisi wenyewe, Tanzania hii tutavuka. Tanzania hii tuna kila kitu, Tanzania ni matajiri lakini utajiri tumeukalia" - Rais Magufuli
KAMATI YA BUNGE YAIPIGIA SALUTI TEKNOLOJIA YA STAMICO
23 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako