Mwenyekiti wa CCM mhe.rais Kikwete na wajumbe wengine wa Kamati kuu ya CCm wamekutana Dodoma leo kuanza kikao cha kamati kuu ikiwa na mambo mengi ya kupitia likiwemo suala la kuangalia Ilani ya Uchaguzi wa Rais CCM na baadae kupitia majina ya watangaza nia ya Urais CCM na mengineyo
wajumbe mbalimbali wa CCM katika kikao hicho
WATUHUMIWA WANNE WAKAMATWA NA MADINI YA VITO MAHENGE
27 minutes ago



No comments:
Post a Comment
Maoni yako