Ndugu zangu mnapoalikwa kwenye sherehe ustaarabu ni kitu cha muhimu sana. Picha hizi zitufundishe kuwa wastaarabu maana hivi sivyo inavyotakiwa kutenda uwapo kwenye sherehe. Utaumbuka bureee
WRRB YAJA NA UBUNIFU KWENYE ZAO LA PARACHICHI
5 hours ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako