Kutokana na wengine kufurahia mno kiasi kwamba wanashindwa kusubiri Pilau la pasaka liive, imebidi mbinu nyingine zitumike ili chakula hivho kiive vizuri.
Wengine wa uroho(Wali Kuku)wanataka wakisulubishe hata hiki kifaranga jamani.
"Jamani tuache twende tunachelewesha kuku wa kitoweo cha Pasaka"
PINDA ATAKA HAKI MCHAKATO WA WAGOMBEA
10 hours ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako