Wadau huko Moshi wametuletea haya wakisema ndo yanayoipamba Pasaka maeneo hauo ya milimani. Ama kweli wadau wanafaidi. Pasaka njema kwa raha zenu.
Vyakula vya leo ni Pilau Mbuzi
Kitu Mbege nacho ni muhimu ili kudumisha mila.
WRRB YAJA NA UBUNIFU KWENYE ZAO LA PARACHICHI
5 hours ago





No comments:
Post a Comment
Maoni yako