Timu ya Taifa ya Brazili imefuzu kuingia robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuitoa Chile kwa Penalt 3-2. Bao la ushindi la penalt lilifungwa na mchezaji maarufu wa Brazili Neymar Jr.
Wachezaji wakifurahia ushindi wao
Mlinda mlango wa Brazil Julio Cesar akiokoa moja ya hatari langoni mwake. Kipa huyu pia amezuia penalt 2 za Chile leo.
CTA NA FAWETZ WAWAJENGEA UWEZO WATOTO WA KIKE TANZANIA
50 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako