Leo kunafanyika mahafali ya pili chuoni hapo. Chuo hiki ndicho iliyokuwa shule kongwe ya Sekodari ya Kaole na ina hitoria ya wapiganaji wa FRELIMO Msumbiji kuweka makazi yao hapo wakati wa harakati za kutafuta uhuru wa nchi yao. Karibuni sana
Mgombea Uraisi wa Msumbiji kwa tiketi ya FRELIMO mhe Filipe Nyusi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa Raisi Jakaya Kikwete alipokutana nae kwa mazungumzo katika ikulu ndogo ya Tanga
WATUHUMIWA WANNE WAKAMATWA NA MADINI YA VITO MAHENGE
25 minutes ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako