Kumekucha na wiki ndio imeanza.Kila mmoja akiwahi tena katika mipangilio yake ya siku.Kwa wanafunzini asubuhi ya pilikapilika kuwahi shuleni/chuoni.Lakini ndio hivyo tena kuna tofauti kubwa za namna wanafunzi wanavyosafiri kuelekea shuleni kama uonavyo katika picha.
School Bus Japan
School Bus Pakistan
School bus Zanzibar
Hawa wa vijijini Tanzania Bara wala hawana zaidi ya miguu yao (Tz11)wanatembea taratibu kuwahi darasa lao la chekechekea
Monday, 3 August 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako