HUYU ATAAMBIWA ANACHEZEA UDONGO japo ukiwapa wanaoonekana wana akili udongo huo na vyombo alivyotumia huyu hawataweza kufanya lolote. Inasikitisha tunavyojidharau. Yaani sisi hatujioni mashujaa licha ya kuwa tunaweza kuwa tunaishi maisha ya wale ambao tunawaona mashujaa zaidi. Wenzetu hawaishi maporini kama wamasai na makabila mengine. Labda wenye kutafuta mambo maalumu (ina maana hao wataitwa wataalamu na sisi tutakubali) ama wanajeshi wanaotaka cheo ama hadhi ya ukakamavu kama makomandoo. Ukiwaweka na wamasai wetu, wote (practically) ni survivors lakini wetu watadharauliwa. Sijui tumelogwa na nini sisi? Blessings
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Umenikumbusha mbali nilipokuwa msichana mdogo tulikuwa tunafinyanga wadoli wa udongo na wavulana magari ya udongo. Natamani tena kuwa mdogo,,,,,LOL
ReplyDeleteHUYU ATAAMBIWA ANACHEZEA UDONGO japo ukiwapa wanaoonekana wana akili udongo huo na vyombo alivyotumia huyu hawataweza kufanya lolote.
ReplyDeleteInasikitisha tunavyojidharau. Yaani sisi hatujioni mashujaa licha ya kuwa tunaweza kuwa tunaishi maisha ya wale ambao tunawaona mashujaa zaidi.
Wenzetu hawaishi maporini kama wamasai na makabila mengine. Labda wenye kutafuta mambo maalumu (ina maana hao wataitwa wataalamu na sisi tutakubali) ama wanajeshi wanaotaka cheo ama hadhi ya ukakamavu kama makomandoo.
Ukiwaweka na wamasai wetu, wote (practically) ni survivors lakini wetu watadharauliwa.
Sijui tumelogwa na nini sisi?
Blessings