Kumekucha na wiki ndio imeanza.Kila mmoja akiwahi tena katika mipangilio yake ya siku.Kwa wanafunzini asubuhi ya pilikapilika kuwahi shuleni/chuoni.Lakini ndio hivyo tena kuna tofauti kubwa za namna wanafunzi wanavyosafiri kuelekea shuleni kama uonavyo katika picha.
School Bus Japan School Bus Pakistan School bus Zanzibar Hawa wa vijijini Tanzania Bara wala hawana zaidi ya miguu yao (Tz11)wanatembea taratibu kuwahi darasa lao la chekechekea
No comments:
Post a Comment
Maoni yako