Picha hii inanikumbusha sana "enzi za Mwalimu" ambapo wadau wa wakati ule walikuwa wakijimwagamwaga sehemu hizo maarufu. "Mwafrika Bar" ilikuwepo kila eneo la nchi. Siku hizi mmmmm utaambiwa twaenda "Mango Garden, Coco Beach, Msasani Club, Friends Corner tukawaone Twanga Pepeta n.k. Zile Mwafrika Bar na kina Masantula wao ziko wapi tena?
WRRB YAJA NA UBUNIFU KWENYE ZAO LA PARACHICHI
5 hours ago
Ni kweli sasa ni wikiend labda hapo patafaa:-)
ReplyDelete