Kumradhi wapendwa sana wadau wa Blog hii kwa kutokuweza kuwaletea habari kwa wiki moja hivi. Natambua mchango wenu na nasikitika kwa kuwaacha gizani kwa muda. Nimerudi tena na karibuni sana wadau.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
karibu sana ni kweli tumeku-miss naona ulikuwa safarini.
ReplyDelete