Mandhari ya jiji la Mwanza inazidi kupendeza hasa baada ya mwanza kuwa Jiji. Ni eneo lililokaa sehemu nzuri ukingoni mwa Ziwa Victoria na hivyo kuipa Mwanza mandhari murua ya kubarizi na maisha kwa ujumla. Tuzidi kuboresha na kutunza mazingira hayo.
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Kwa mbali kweli kunapendeza. Sijawahi fika Mwanza ipo siku:-)
ReplyDelete