Timu ya Taifa ya DRC baada ya ushindi wa Kombe la Afrika yaliyofanyika Kigali/Rwanda waliporudi nyumbani kwao wakapokelewa na Rais wao Mhe.Josepph Kabila na wakakabidhiwa zawadi ya Prado kwa kila mchezaji.
WRRB YAJA NA UBUNIFU KWENYE ZAO LA PARACHICHI
12 hours ago


No comments:
Post a Comment
Maoni yako