Mwandishi wa Blog hii leo anaungana na wanafamilia, Ukoo wa Mwangoka na Swai kufanya kumbukumbu ya miaka 5 tangu kuondokewa na baba yao kipenzi Mzee Amedeus Mwangoka Huko Sanya Juu-Kilimanjaro. Anaomba sala zenu. "Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe"
Baba mzazi enzi za uhai wake.
Mwandishi wa Blog hii akiwa katika majonzi siku ya mazishi ya Baba yake mzazi
Sunday, 23 March 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ama kweli kila mtu ana siku yake au mpo wawili wawili...kwani hii tarehe familia ya mzee Ngobyani pia iliondokewa na kipenzi chao Asifiwe....Mwenyezi Mungu szilaze roho za marehemu mahali pema poeponi.
ReplyDeleteAsante kwa sala Dada. Tuendelee kuwaombea
ReplyDelete