Je wakumbuka ule wimbo wa; "Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na makonde mengi ya nafaka, Nasema kwa...... Nchi hiyo mashuhuri huitwa TANZANIA"
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Ivi wewe mtanzania unatumia ramani kama hiyo hapo juu, je mpaka wa tanzania na malawi ndio jinsi ambavyo ulisoma shuleni kwenu kweli?
ReplyDeleteSo shame
Hapo kwenye mpaka jamaa kachemka
ReplyDelete