Friday, 20 March 2015

KUVALIA KIPUNDAMILIA NDIO STORI YA MJINI KWA SASA Usipitwe....

Elizabeth Michael (LULU)
Jokate (Kidoti)
Wema Sepetu (Madam)

KULIKONI.

Kumbe maumbo mengine yana faida za ziada

SHULE MUHIMU, LAKINI JE USALAMA WAO????

SIO KILA KITU CHA KUIGA: "AKILI KUMKICHWA"

Siku za hivi karibuni baada ya Coca Cola kutoa "offer" inayomwezesha mnywaji kupata soda ya Coca hata iliyoandikwa jina lake, wengi wamekuwa wakihaha kitafuta chupa zenye majina yao au hata kutamani Coca cola waandike majina yao.
Mpaka Kaka yangu Le Mutuz alifanikiwa kukabidhiwa kopo la Coca lenye jina lake la kikazi "Le Mutuz"
Sasa kwa wale waliokuwa wanatamani kuandikwa majina yao kwenye makopo ya Coca cola, je na huku pia utatamani jina lako liandikwe????

Thursday, 19 March 2015

ITAMBUE SURA YA IKULU YA TANZANIA

Hili ndilo Jengo la Ikulu ya Tanzania ambapo mambo yote yahusuyo nchi kupitia kwa Raisi wa nchi huanzia hapa, na pia ndiyo Makazi maalum ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar.

Wednesday, 18 March 2015

Tuesday, 17 March 2015

UKARIMU VIJIJINI

Ila unapoonyeshwa ukarimu huu nawe jitahidi kutimiza ndoto zao

TAFSIRI SAHIHI YA KILA MTU NA 50 ZAKE