Baada ya kampeni za muda kuwania Ubunge Jimbo la Chalinze, hatimaye CCM kupitia mgombea wake Mhe. Ridhiwani Kikwete (mtoto wa kiume wa Rais Mhe. Jakaya Kikwete) amepata ushindi wa kishindo wa kura 20,812. Aliyemfuatiakutoka CHADEMA kapata kura 2,638. Uchaguzi huu umefanyika ili kuziba pengo la aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Marehemu Said Bwanamdogo.
Hongera Mhe Ridhiwani Kikwete, sasa kawatumikie wana Chalinze.
Monday, 7 April 2014
KUMEKUCHA SASA TUKATAFUTE RIZIKI
Ni asubuhi sasa na naamini wadau wangu mu wazima. Twendeni tuwahi tukatafute riziki zetu za kila siku kwani imeandikwa "Asiyefanya kazi na asile". Mola atutangulie katika kila jambo. Nawatakia wiki njema
Sunday, 6 April 2014
MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU
Hii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso.
Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.
Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.
JUMAPILI NJEMA WADAU : IMANI YAWEZA
MTOTO WA MIAKA NANE APONYA WATU HUKO BRAZIL KWA KUWAOMBEA NA KUKEMEA PEPO KWA JINA LA YESU
Binti Alani Santos wa Mji wa San Gonzalo huko Brazil anasadikiwa kuwa na kipaji cha kuombea watu wanaosumbuliwa na matatizo mbali mbali kwa jina la Yesu nao wakapona. Mtoto huyo ambaye huwa anafanya hivyo katika kanisa ambalo Baba yake ni Mchungaji, amewashangaza watu wengi kwa uwezo huo alopewa na Mungu.
Hapa Binti huyu akimwombea mama mgonjwa

Saturday, 5 April 2014
VIONGOZI WA MFANO WA MAISHA YA UNYENYEKEVU
Baba wa Taifa Mwl.Julius Nyerere akiwa anaendesha baiskeli katika mojawapo ya safari zake.
Raisi wa Uruguay Mhe Jose Mujica akiwa katika usafiri wake wa gari maarufu kama "kobe"
Raisi wa Uruguay Mhe Jose Mujica akiwa katika usafiri wake wa gari maarufu kama "kobe"
Thursday, 3 April 2014
NAKUMATT KARIBU TANZANIA
Moja ya maduka makubwa ya bidhaa mbalimbali nchini Kenya ya Nakumatt inatarajiwa kuja kuchukua nafasi ya maduka ya Shoprite yaliyopo nchini kuanzia katikati ya mwaka. Maduka haya ya Shoprite yanamilikiwa na mwekezaji kutoka Afrika ya Kusini.
Wednesday, 2 April 2014
ELIMU YA KUJITEGEMEA lakini mmmmm
Wanafunzi wa shule ya msingi wakitoka kuteka maji ya kupikia na kudekia.
Hawa nao wametoka kuokota kuni za kupikia
Hawa nao wametoka kuokota kuni za kupikia
WAKAWATAMBUENI KWA MATENDO YENU
Huu ni msemo nzuri ambayo waonyesha naona ya kuelekeza jema la kufanya kwa kutenda na sio kusema tu "wewe fanya hivi" lakini mwenyewe hutendi. Ni hamasisho kwa wazazi kuwafundisha watoto wao yale yaliyo mema kwa matendo.
Tuesday, 1 April 2014
MVUA ZA MASIKA KIZAAZAA MAENEO MENGI TANZANIA
Hii ni sehemu ya mto Msimbazi maeneo ya Jangwani Jijini Dar es Salaam
Huko Lindi nako Daraja limeezuliwa na maji na hapa wananchi wakijaribu kutengeneza kivuko cha muda
Hali ya tope katika Kituo cha Mabasi huko Njombe Iringa ni shida kwa wasafiri
Msafara wa mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) nao alipata adha hii katika Kata ya Mandera huko Bagamoyo
Mto Ruvu maeneo ya Kiwangwa Bagamoyo nao wasababisha barabara ya Msata/Bagamoyo kupitika kwa shida
Maeneo ya Mikocheni Jijini Dar es Salaam hasa eneo korofi la Shoppers Plaza nao wamekumbwa na adha hii
Treni la Mizigo nalo lapata dhoruba maeneo ya Mpwapwa Dodoma

Subscribe to:
Posts (Atom)