Thursday, 28 February 2013

Khe

Hii sasa imezidi jamani. Huu ni uharibifu wa chombo na mazingira. Hata kama ni ule msema "Heri punda afe mzigo ufike".

MWILI HAUJENGWI KWA MATOFALI


UBUNIFU

Sie tupo huko bado

Friday, 25 January 2013

Thursday, 10 January 2013

MWAKA UMEANZA , YANAYOJIRI KWA WATOTO

    
 
Mwaka umeanza sasa, kwa watoto wengine ni maandalizi ya kurudi shuleni (Ila wakiwaza adhabu hizo watarudi kweli ?), na wengine......

Thursday, 6 December 2012

TUWAKUMBUKE NA WATOTO HAWA

Tunapokuwa katika harakati za kuboresha maisha na kuinua kipato, tukijaaliwa na mola tukumbuke katika matumizi yetu na matendo yetu ya kila siku kuwa kuna watoto wengine wanatafuta elimu kwa kusomea chemli, kuna wanaoenda shuleni nguo zimechania na hawana njia mbadala ya kujikwamua.




Wednesday, 5 December 2012

WIZI MTUPU


Picha hii inanikumbusha ule ujanja wa mbuni kuchimbia kichwa chacke kwenye kichaka huku mwili wote upo nje kana kwamba anajificha. Huyu jamaa ni vyema akaenda kijijini kulima matembele kulikoni kuendelea na usanii huo maana siku wajanja kama mie tukimgundua, ni kichapo cha mbwa mwizi.  Kipofu anasoma message,anaandika title tena kwa kiingereza, wapi na wapi?




UBUNIFU/KUIGA

Baada ya kuiona picha ya ubunifu wa michezo ya watoto, warembo hawa nao wakatengeneza yao

Tuesday, 4 December 2012

VIPAJI TULIVYONAVYO BINADAMU

Hii ni live, dada Angel alipotembelea Mbuga za wanyama Afrika ya Kusini. Hapa ni sehemu wanapoita "Lion Encounter"


SIO TISHIO, NI MANENO YAGUSAYO