Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu...
π¬
Unaenda kuoga unakumbuka umesahau sabuni unaenda kuchukua,unafika bafuni unakuta ng'ombe amekunywa Maji yoteπ
Unaenda kuchukua mengine ile kurudi bafuni unakuta mbuzi amekula sabuni yako ya kipande ya Mbuni.
ππππ
Unachukua maji mengine unaamua uoge tu bila sabuni,kumaliza tu unakuta mbwa kabeba taulo hapo sasa watu wote wameshaenda shambani kazi ipo.
CTA NA FAWETZ WAWAJENGEA UWEZO WATOTO WA KIKE TANZANIA
56 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako