MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho leo majira ya saa 5 asubuhi katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam. Akizungumza mbele ya waandishi habari,Pro.Lipumba amesema ametafakari sana katika kuendelea kuwa Mwenyekiti wa chama hicho lakini dhamira yake inamsuta.
WRRB YAJA NA UBUNIFU KWENYE ZAO LA PARACHICHI
5 hours ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako