Haijalishi ni kutoka wapi au rangi gani, linapofikia suala la kutafuta kipato kila mmoja ana namna zake. We kaa tu nyumbani na vyeti vyako ukisubiri uajiriwe ofisini. Wenzio wamekuja na sasa mahindi wanachoma, baadae utatafuta hata hizi kazi za kuchoma mahindi ukose.
TBS Yatoa Mafunzo kwa Waokaji Kuhusu Ubora wa Bidhaa
54 minutes ago
No comments:
Post a Comment
Maoni yako