Hata baada ya miaka 50 ya UHURU, hali ya watanzania walio wengi bado ipo chini sana. Watu wanaishi kwa tabu sana hadi wamezoea hali hiyo na kufanya ya kawaida katika mtindo wa maisha sasa. Lakini kwakweli hapana, tutoke huku, Swali ni "Tutatoka vipi?"
Kaka N..ushakimbia tena? Tutafika tu ingawa ni polepole...
ReplyDeletetupo pamoja mkuu
ReplyDelete