Kweli na haka kapicha kako bado unako...mmmh, wengine hatujui tumevitupa wapi...kweli ukikumbuka maisha ni kama ilitokea jaaana! Ulikuwa ukiita `mtoto, ikaja `we kijana' sasa baba nanihii, au babu..mmmhhh, mwisho wa siku unapewa jina ambalo kila mmoja analiogopa!
Kweli jamani kama kweli hapo zamani kungekuwa na kufotoana mipicha kama sasa na halafu tungerudi nyuma na kuangalia jinsi tulivyokuwa maisha ya utotoni sijui tungependa au? Ila mimi nina hakika ningependa kwa vile napenda zamani...lol
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Kweli na haka kapicha kako bado unako...mmmh, wengine hatujui tumevitupa wapi...kweli ukikumbuka maisha ni kama ilitokea jaaana!
ReplyDeleteUlikuwa ukiita `mtoto, ikaja `we kijana' sasa baba nanihii, au babu..mmmhhh, mwisho wa siku unapewa jina ambalo kila mmoja analiogopa!
Kweli jamani kama kweli hapo zamani kungekuwa na kufotoana mipicha kama sasa na halafu tungerudi nyuma na kuangalia jinsi tulivyokuwa maisha ya utotoni sijui tungependa au? Ila mimi nina hakika ningependa kwa vile napenda zamani...lol
ReplyDeleteua ryt kwel kaka 2metoka mbali sana....!
ReplyDelete