Hivi wanamenya mihogo,viazi au magimbi? kwani nakumbuka kipindi kile nipoishi kijiji kimoja kiitwacha kingoli. Kazi kwelikweli, lakini ni kumbukumbu nzuri sana. Ahsante.
Haya ndo maisha haswaaa!Ingawa wazungu wakiona wanatufananisha na wanyama waso- utashi! Mi mwenzenu nawaona wao ndo wenye matatizo..dada wa watu hana presha kama walizo nazo wao pamoja na utajiri wao wa kinyonyaji!
Katika festival nilikuwa nauza chakula cha kiafrika, akaja mteja mmoja akaniulia je una muhogo? nilimuangalia halafu nikacheka, kwani sikutegemea kama kuna mtu atakuja niuliza muhogo ila sikujua anataka nuhogo wa aina gani wakuchemsha au wa kukaanga kwa kuwa nilikuwa sina na kuokoa muda hasa kwa vile kulikuwa na foleni ilinibidi tu nimuambie hakuna
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
Hivi wanamenya mihogo,viazi au magimbi? kwani nakumbuka kipindi kile nipoishi kijiji kimoja kiitwacha kingoli. Kazi kwelikweli, lakini ni kumbukumbu nzuri sana. Ahsante.
ReplyDeleteHaya ndo maisha haswaaa!Ingawa wazungu wakiona wanatufananisha na wanyama waso- utashi! Mi mwenzenu nawaona wao ndo wenye matatizo..dada wa watu hana presha kama walizo nazo wao pamoja na utajiri wao wa kinyonyaji!
ReplyDeleteKatika festival nilikuwa nauza chakula cha kiafrika, akaja mteja mmoja akaniulia je una muhogo? nilimuangalia halafu nikacheka, kwani sikutegemea kama kuna mtu atakuja niuliza muhogo ila sikujua anataka nuhogo wa aina gani wakuchemsha au wa kukaanga kwa kuwa nilikuwa sina na kuokoa muda hasa kwa vile kulikuwa na foleni ilinibidi tu nimuambie hakuna
ReplyDeletekaaazi kweli kweli........LOL
ReplyDeleteKaka. Tumekukumbuka. Popote ulipo uwe salama na ukiweza rejea mapema.
ReplyDeleteBlessings
Mzee wa Changamoto nimekumiss. Upooooo? Karibu Nyumbani
Delete