Wednesday, 21 October 2015

ANGALISHO SIKU YA KUPIGA KURA

Hairuhusiwi kuvaa sare ya Chama unachokishabikia/kukikubali siku ya kupiga kura

UCHOKOZI

RAIS KIKWETE AKABIDHI MAGARI 399 KWA JESHI LA POLISI NCHINI

Wimbo wa Taifa katika sherehe za kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia katika Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 katika sherehe ya kukabidhi magari 399 kati ya 777 yanayoletwa kwa ajili ya kusaidia utendaji kazi wa jeshi la polisi.

Monday, 19 October 2015

WIKI YA MWISHO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Ila je wagombea wetu mnatambua kuwa mpiga kura wako atavaa hivi kuelekea kituo cha kupiga kura maana ndo maisha yake ya kila siku?????

Sunday, 18 October 2015

MAGUFULI AKIONGELEA "FLY OVER" YA TAZARA AKIWA UKONGA-DAR

VIDEO: HADI MCHINA-MSWAHILI, KURA KWA MAGUFULI

VIDEO: SAMAHANI WADAU ILA MIE HII KAULI SIJAIELEWA (KUJICHANGANYA)

MAMA SAMIA SULUHU AFANYA KAMPENI SUMBAWANGA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni aliofanya leo katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa

VIDEO: MAGUFULI APOKELEWA NA UMATI WA WATU MWANZA


Picha kutoka angani ikionyesha mandhari ya Mwanza alipohutubia Dk.Magufuli
halaiki ya Mwanza
Hisia za wananchi wa Mwanza zikapelekea waingie na Tingatingaa kabisa