Wachezaji hawa wamechanguliwa kutoka timu za mataifa mbalimbali ili kuunda kinachoitwa Kikosi bora cha FIFA 2014
Wednesday, 16 July 2014
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YAMETOKA
Wanafunzi wa Kidato cha sita mwaka huu walifanya mitihani yao ya kuhitimu mwezi Mei 5/21. Matokeo ya mitihani hiyo tametangazwa leo ambapo kiwango cha ufaulu kinaridhisha. Watahiniwa 38,905 waliofanya mtihani wamefaulu. Ingia http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.html kuangalia matokeo hayo.
Tuesday, 15 July 2014
MBUNGE WA KALENGA Mhe. GODFREY MJIMWA ATOA MSAADA WA BATI
Katika kutekeleza ahadi zake kwa wanajimbo lake tangu achaguliwe kuwa Mbuge kushika nafasi ya Marehemu Baba yake, Waziri wa Fedha W.Mjimwa, mbunge huyu ametoa msaada wa bati katika Vijiji vya Usengerendeti na Muhanzi.
MADUKA MWANANYAMALA YATEKETEA KWA MOTO
Mojawapo ya maduka hao yakiwa yanateketea bila msaada wowote wa kuzima moto huo ambao ulionekena kuwa mkali sana.
Monday, 14 July 2014
JIJI LA DAR LAZIDI KUPENDEZA
Mwonekano wa Jiji la Dar maeneo ya Mchafukoge na Kariakoo. Katikati ni Bustani ya Mnazi Mmoja mahali sherehe za Uhuru 1961 zilifanyika. Kwa mbali mbele ni Bandari ya Dar es Salaam
UNYENYEKEVU WA VIONGOZI WETU KUWAUNGANISHA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO
Mhe.Jakaya Kikwete, Rais wa Tanzania akiwa na mke wake Mama Salma wakinunua mahitaji ya nyumbani katika genge la mbogamboga huko Tanga
Mhe Barack Obama Rais wa Marekani akinunua chakula katika sehemu ya makulaji iitwayo Chipotle.
Mke wa Raisi wa Marekani mhe Michelle Obama na wanawe,wakinunua chips na kuku katika kibanda kidogo cha kuuza chakula maarufu kama Take Away
Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta na Makamu wake Mhe William Ruto wakipata chakula chini ya mti huko Kajiado wakiwa safarini wakitokea Arusha Tanzania kwenye kikao.

MKE WA MBUNGE ATOA MSAADA-KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI
Arafa Mohamed,mke wa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete ametoa msaada wa vyombo vya ndani na tende kwa familia zinazoishi katika mazingira magumu katika Kata ya Mbwewe kwenye Jimbo la Chalinze.Hii ni katika kutimiza ahadi zake wakati akigombea Ubunge kwa tiketi ya CCM. Mhe Ridhiwani anatarajia kutoa msaada huo kwa familia zaidi ya 600.
Tuige mfano huo ikiwa Mungu katujalia kdg tugawane na wenzetu.
Tuige mfano huo ikiwa Mungu katujalia kdg tugawane na wenzetu.
Subscribe to:
Posts (Atom)