Timu ya Taifa ya Soka Olympics 2016 ya Brazili imeshinda Medali za Dhahabu baada ya kuitoa Ujerumani kwa Penati. Timu hizo ambazo zilimaliza muda wa kawaida kwa droo ya 1 - 1 iliongezewa dakika 30 na ikabaki 1-1 ndipo zikapiga penati na Brazil ikapata 5 Ujerumani 4. Penati ya ushindi ilifungwa na mchezaji machachari Neymar.
Kumekucha CDF Cup 2026, NMB 'yamwaga' Sh milioni 150
30 minutes ago

No comments:
Post a Comment
Maoni yako