KARIBU NYUMBANI

"Home Sweet Home"

Wednesday, 16 August 2017

BODABODA MARUFUKU KUBEBA WATOTO NA WANAFUNZI CHINI ZA MIAKA 10

›
Jeshi la Polisi August 15, 2017 limetoa tamko la kupiga marufuku Waendesha Bodaboda kubeba watoto wenye umri wa chini ya miaka 10 na kwamba...
1 comment:
Sunday, 30 July 2017

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA

›
Bismarck Rocks/Mwanza
Sunday, 23 July 2017

HABARI NJEMA. CCM KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI YATIMA VYUO VIKUU

›
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wake, Humphrey Polepole kimetangaza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vik...

POLENI KWA BLOG YENU KUTOKUWA HEWANI MUDA

›
Wapendwa wanablog ya Karibu Nyumbani, kwa takribani wiki 4 hivi Blog yenu haikuwa hewani kutokana na Safari ya Kikazi sehemu ambapo upatikan...
Monday, 26 June 2017

EID MUBARAK

›
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pampja na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe ...
Sunday, 25 June 2017

HONGERA RAYVANNY WA WCB

›
Msanii wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) ameshinda tuzo ya BET (Black Entertainment Television) kipengele cha ‘Viewe...
Saturday, 24 June 2017

TAARIFA YA SIKUKUU YA EID EL FITR

›
Mufti wa Tanzania,Sheakh Abubakary Zubery akiwa katika lango la kutokea eneo la watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilim...
Thursday, 22 June 2017

SHOPPING ZA EID IMEPAMBA MOTO

›
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Mfungo wa Ramadhani kuisha, maeneo mengi ya masoko yamejaa wateja wakifanya manunuzi kwa ajili ya kupen...

WATAKAOPATA MIMBA SHULENI KUKIONA CHA MOTO

›
Rais John Magufuli amesema wakati wa utawala wake hakuna mwanafunzi atakayepata mimba na kuruhusiwa kurudi shule. Ameyasema hayo leo (Alha...

Mhe RAIS MAGUFULI AFUTARISHA KIBAHA

›
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kunawa na kisha kuchukua chakula leo Jumatano Juni 21...
›
Home
View web version
My photo
Nicky Mwangoka
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
View my complete profile
Powered by Blogger.