Je ni kweli?
MAJINA YA GIRLS NA SIFA ZAO KWENYE MAPENZI
1.Nancy - Muongo
2.Julieth - Kicheche
3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu
4.Precious - Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza
5.Hellen - Ana busara anapozungumza na mpenzi wake
6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa
7.Eunice - Hapendi ndugu wa mume wakr
8. Agness- Ana upendo wa dhati na Akipenda kapenda
9.Pauline - Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka
10.Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake
11.Mariam - Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake
12. Loveness - Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu
13.Monica - Anajivunia mpenzi wake popote
14.Mellisa - Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka
15.Elizabeth - Hapendi kujihusisha na mahusiano
16.Emmy - mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi)
17.Frida - Anapenda sifa kwa wanaume
18.Theresa - Mvumilivu ktk mapenzi
19.Eve - Hana mwanaume maalum,
20.Hilda - Muumiza mioyo ya wanaume wengi
21.Jackline - Ni mlipiza visasi
22.Lydia - Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc)
23.Carol - Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika
24.Josephine - Hataki mpenzi but anataka mume
25.Grace - Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja katika hao wengi
26.Anna - Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa
27.Beatrice - Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa
28.Rehema - Anapenda waume za watu
29.Brenda - Akipenda anapenda kufa
30.Diana - Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu
31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano
32. Jane - Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole
32.Rachel - Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu
33. Neema - Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa
34. Aneth - Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake
35.Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi
36.Violeth - Mkorofi
37.Sylvia - Mkimya sana awapo na mpenzi wake
38.Christine - Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake
39.Doreen - Ana aibu sana kwenye mapenzi
40.Magreth - Anapenda sana ila anaumizwa sana pia
Kaka mbona sijaona jina langu:-)
ReplyDelete