Ukitazama picha hii kwa makini utaona namna ambavyo mwanamama huyu akiteseka na mizigo na mtoto mgongoni huku mwanaume pembeni anatembea bila mzigo wowote. Kama huyu ni Baba wa familia, basi hiyo nyumba ina unyanyasaji mkubwa wa kijinsia.Yaani hata mnyama kabeba mzigo ila mwanaume kama mfalme vile. Yamepitwa na wakati hayo.
Tena utesaji mkubwa sana hata kama ni mfalme si uugwana....
ReplyDeleteTena utesaji mkubwa sana hata kama ni mfalme si uugwana....
ReplyDeleteHAIKUBALIKI
Delete