"Home Sweet Home"
DUH! hiyo kali, ila huyo mbwa kuna hatari ya kuungua moto hapo:-) Na hiyo kula chakula kwenye sufuria na hungu nimeipenda kwani unaokoa kuosha vyombo ..halafu nimekitamani chakula hicho....
Yaani ni kikwetukwetu hadi raha dada Yasinta
Maoni yako
DUH! hiyo kali, ila huyo mbwa kuna hatari ya kuungua moto hapo:-) Na hiyo kula chakula kwenye sufuria na hungu nimeipenda kwani unaokoa kuosha vyombo ..halafu nimekitamani chakula hicho....
ReplyDeleteYaani ni kikwetukwetu hadi raha dada Yasinta
Delete