Timu ya taifa ya Brazili imeshindwa kuchukua nafasi ya Tatu kombe la Dunia baada yakuchapwa na Uholanzi 3-0. Kwamchezo wa leo wameendelea kuwahuzunisha mashabiki baada ya kuchapwa 7-1 na Ujerumani katika mechi ya Nusu fainali.Hili ni pigo kwa kuwa timu hii ni nzuri kidunia na ni waandaaji wa mashindano haya.
Golikipa wa Uholanzi,Cillessen akiwa amepozi golini huku akiwapanga wachezaji wake wa utuliiivu kabisa
Uholanzi ikishangilia ushindi wao wa nafasi ya Tatu Kombe la Dunia 2014
No comments:
Post a Comment
Maoni yako