Pengine watoto hawa wangetakiwa kuwa darasani wanasoma au nyumbani wamepumzika. Kwa mtazamo wangu, ni mapema sana kuhusishwa katika kazi kama hizi.
Elimu ya kujitegemea ni suala zuri lakini kwa kiwango gani?
Ugumu wa maisha,huduma duni,migawanyo isiyo sawa ya rasilimali,kumomonyoka kwa maadili na mengine km hayo yanapelekea vijana wadogo kujiingiza katika biashara za utotoni kukidhi maisha
Hapa ni uwanja mkubwa wa mpira ambapo watoto hawa wanafanyishwa kazi. Inawezekana kabisa kuna fungu lilotengwa kwa ajili ya ukarabati wa uwanja huu, sasa kwanini wanatumika watoto?
No comments:
Post a Comment
Maoni yako