At just under 25 inches tall, Jyoti Amge of Nagpur, India, is the world’s shortest woman. She’s a college-bound student, with dreams of making it as an actress. Still, she weighs just 12 pounds — only nine pounds more than she did at birth.
Huyu nae ndio mwanamke mwenye urefu wa futi 7 huko huko Bara Hindi. Hapo kainama kidogo kupata taswira akiwa na wazazi wakeFriday, 31 January 2014
Thursday, 30 January 2014
BABU WA LOLIONDO
Wednesday, 29 January 2014
TASWIRA ZA USAFIRI WA TIMU MBALIMBALI ZA DUNIA
KIFAA CHA KUWEKEA TAKA.
DUNIANI KUNA MAMBO
Sunday, 26 January 2014
Friday, 24 January 2014
VIONGOZI WA MFANO TANZANIA
Thursday, 23 January 2014
SERIKALI MNALIONA HILI?
Tuesday, 21 January 2014
MAENDELEO DARAJA LA KIGAMBONI
Huu ndio mwonekano mpya wa daraja la kigamboni kwa sasa
Hivi karibuni waziri wa ujenzi Mheshimiwa John Magufuli alifanya ukaguzi wa maendeleo ya daraja la kigamboni. Na hivi ndio linavyoonekana kwa sasa likiwa limeshaunganisha nchi kavu mbiliMonday, 20 January 2014
KULA KIAPO
Sunday, 19 January 2014
TUMALIZIE WIKI KWA KUPEANA MOYO NA CHANGAMOTO
Japokuwa ni mwanzo tu wa mwaka, kwa wengine tayari maisha yashaanza kuwachosha kiasi cha kukata tamaa. Lakini ni muhimu kuamini kuwa ambalo halijawezekana leo unaweza kujaribu kesho likawezekana. Tusikate tamaa.
Kwa tafsiri ya haraka ni kama vile mtu huyu amekata tamaa. Hiyo ni njia ya treni. Inamaana akiishia usingizini na treni ikipita hapo. Ni kifo tu. Hapo sio sehemu sahihi ya kupumzikia. Bila shaka huyu anataka kufupisha maisha yake kwa kifo hicho. Hapana. Tusikate tamaa. ((SAMAHANI WADAU KWA PICHA HII INAYOFUATA MAANA INAHUZUNISHA SANA.)) Katika picha hiyo ya ajali inayodaiwa kutokea huko Nigeria, dada huyu alipatwa na umauti baada ya kuamua kujilaza relini baada ya ugomvi wa kimapenzi. Jamani hasira hasara. Ni kweli inaumiza kupata na mtafaruko wa kimapenzi lakini isiwe ndo sababu ya kusitisha maisha.MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,leo amefanya uteuzi wa Mawaziri na Manaibu wapya. Pia hii imehusisha kuteua wapya,kuhamisha na pia kupandisha au kushusha wengine.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue mbele ya jopo la Waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam. Baraza Jipya la Mawaziri ni kama ifuatavyo: Mabadiliko na uteuzi huo kamili ni kama ifuatavyo:- OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. OFISI YA MAKAMU WA RAIS Waziri wa Nchi (Muungano) – Hakuna mabadiliko Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb) Waziri wa Nchi (Mazingira). Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb) Naibu Waziri OFISI YA WAZIRI MKUU Hakuna mabadiliko WIZARA: WIZARA YA FEDHA Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb) – Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) – Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)- Naibu Waziri wa Fedha WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Hakuna mabadiliko WIZARA YA KATIBA NA SHERIA Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb)-Waziri wa Katiba na Sheria Naibu Waziri – Hakuna mabadiliko WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI Hakuna mabadiliko WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA Waziri – Hakuna mabadiliko Mhe. Janet Zebedayo MBENE (Mb) – Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)- Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa WIZARA YA UJENZI Hakuna mabadiliko WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb)- Waziri wa Mambo ya Ndani Naibu Waziri – Hakuna Mabadiliko WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb)- Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe. Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb)- Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Waziri: Hakuna mabadiliko Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) – Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO Waziri: Hakuna mabadiliko Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb) – Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb) – Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Saning’o TELELE (Mb)- Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi WIZARA YA KAZI NA AJIRA Hakuna mabadiliko WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Hakuna mabadiliko WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI Waziri – Hakuna mabadiliko Mhe. George Boniface Taguluvala SIMBACHAWENE (Mb) – Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi WIZARA YA MAJI Waziri – Hakuna mabadiliko Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb)- Naibu Waziri wa Maji WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA Waziri – Hakuna mabadiliko Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb) – Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika WIZARA YA UCHUKUZI Hakuna mabadiliko WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO Waziri – Hakuna mabadiliko Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb) – Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo WIZARA YA MALIASILI NA UTALII Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb)-Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb)-Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii WIZARA YA NISHATI NA MADINI Waziri – Hakuna mabadiliko Naibu Waziri (Madini) – Hakuna mabadiliko Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb) Naibu Waziri (Nishati) Ikulu DAR ES SALAAM 19 Januari, 2014Saturday, 18 January 2014
Friday, 17 January 2014
WACHINA KUTENGENEZA TENA MELI YA TITANIC.
Thursday, 16 January 2014
"FRESH" KUTOKA SHAMBANI/BUSTANINI
Wednesday, 15 January 2014
GAZETI LA NEW YORK TIMES LALIPANDISHA JINA JIJI LA DAR-ES-SALAAM
The New York Times has named Dar es Salaam among 52 places in the world to go in 2014.
The American daily newspaper, which founded and continuously published in New York City since September 18, 1851, writes:
Tanzania may be best known for the snow-capped peaks of Mount Kilimanjaro and the game-packed plains of the Serengeti, but the real pulse of the country is found in its largest city, Dar es Salaam. An eclectic mix of music echoes through the beach clubs, open-air bars and nightclubs of this Indian Ocean coastal city. Old-school dance music competes with Swahili hip-hop and traditional drumming, all drawing from the city’s African, Indian and Arab influences. Add in the street food, the beaches and the fact that the year-old African low-cost carrier Fastjet uses Dar as its hub, and it’s easy to see that this commercial capital is more than a stopover on the way to Tanzania’s natural splendor. It is an African metropolis coming into its own.
Tuesday, 14 January 2014
CHRISTIANO RONALDO:MWANASOKA BORA WA DUNIA
MATUMIZI MAZURI KWA TULICHOPEWA NA MUNGU
Mungu ametuumba alivyotaka mwenyewe. Pia kagawa riziki kwa kila mmoja kwa namna alivyotaka. Ila busara ya kawaida inatukumbusha kuwa na matumizi mazuri kwa tulichopewa na mungu. Hapa nakupa mifano michache;
Unapokula mpaka kusaza na kuamua kumwaga jalalani, kumbuka pia kuna binadamu anakufa njaa mahali fulani. Hivyo:Tumia kwa busara Unapowaza kuchoma nguo yako moto eti kwasababu tu dobi au mfanyakazi wako hakuinyoosha vizuri........ .....Kumbuka kuna binadamu mahali fulani anatembea uchi au na nguo zilizotatuka. Hivyo: Tumia kwa busara. Au hivi na anamtukuza muumba wake. Unapowaza kutupa jalalani kiatu chako eti kwa kuwa mpiga rangi hakukingarisha vizuri...... Kumbuka kuna binadamu mwenzio anaridhika na hiki alichovaa. Au hivi tangu utotoni. Unapowaza kukataa kwenda shule kisa wazazi hawajakununulia baiskeli kama ya John..... Kumbuka kuna wanafunzi wenzio hutembea umbali mrefu kwa miguu kwenda na kurudi shule Na tena kama hiyo hatoshi,wanawasili kwenye shule yao hii hapa