Ni katika pilikapilika za maisha ambapo wengi hujifunga mkanda katika majukumu yao kutafuta chochote kwa ajili yao na familia. Lakini mara nyingi hujinyima sana ili mambo yaende au kumridhisha mke/mume au familia. Lakini ni mara ngapi tunashukuru huduma hizo?
Yeye anapopiga ugali kwa maharage wewe umeletewa hiki bado walalamika. Tujitahd kushukuru kwa chochote
Hapo sasa...umimi umetuzidi mno!!!
ReplyDelete