Hatua za ukuaji wa Migomba hadi kupata ndizi.
PICHA HII HAPA CHINI NI KWA HISANI YA MITIKI.BLOGSPOT.COM
PICHA HII HAPA CHINI NI KWA HISANI YA MITIKI.BLOGSPOT.COM
Ndizi iliyokomaa tayari kwa kutengenezea chakula kama Machalari, Mtori n.k.
Ndizi mbivu nzuri kwa mlo na hata kwa wenyeji kutengenezea Pombe ya Mbege.
Ndizi zatumika kutengezeza mkate mzuri sana (Banana Oats Bread)
Na juisi vile vile
Tumebarikiwa saaana kwa vyakula hivi Organic jpo tunavipuuza na sasa hata waTanzania ndani ya Tanzania wanataka kununua ndizi Supermarket. Sijui ni ujinga gani huuuu?
ReplyDeleteLabda kwa kuwa "zina harufu ya friji"
Blessings
Leo umeniweza maana mi ni mpenzi saanaaaaa wa ndizi. Ila asante kwa picha nzuri nimekumbuka Lundo na Matetereka-Lilondo.
ReplyDeleteJasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.
ReplyDelete