Ni jambo la kusikitisha sana kuona akina mama wanateseka hivyo. Halafu sasa mbaya zaidi si maji safi wala salama. Lakini hawana jinsi kwani maji ni uhai wetu bila maji ni vigumu kidogo kuishi. Hapa kuna la kujifunza.
Hili ni janga la kitaifa na sasa hivi mvua za mwezi wa saba (mvua za maharage) zimegoma kunyesha hasa sehemu za ukanda wa pwani, huko vijijini kupata maji ni kazi kweli kweli maana mito na mabwawa karibu yote yamekauka yani hali inatisha
Ni jambo la kusikitisha sana kuona akina mama wanateseka hivyo. Halafu sasa mbaya zaidi si maji safi wala salama. Lakini hawana jinsi kwani maji ni uhai wetu bila maji ni vigumu kidogo kuishi. Hapa kuna la kujifunza.
ReplyDeleteHili ni janga la kitaifa na sasa hivi mvua za mwezi wa saba (mvua za maharage) zimegoma kunyesha hasa sehemu za ukanda wa pwani, huko vijijini kupata maji ni kazi kweli kweli maana mito na mabwawa karibu yote yamekauka yani hali inatisha
ReplyDelete