KARIBU NYUMBANI
"Home Sweet Home"
Monday, 13 July 2009
WIKI YAANZA NA ADHA YA USAFIRI
Hapa ni katika kituo kidogo cha Bom Bom Kiwalani. Bado tatizo la usafiri lipo na hivyo kupelekea wat kugombania magari kwa vurugu sana. Hapa uhandsome na ubishoo pembeni.Pamoja na hayo yote
NAWATAKIENI WADAU WIKI NJEMA YENYE MAFANIKIO
1 comment:
Yasinta Ngonyani
13 July 2009 at 13:22
ni kweli usafi muhimu sana katika maisha:-)
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Maoni yako
‹
›
Home
View web version
ni kweli usafi muhimu sana katika maisha:-)
ReplyDelete