KARIBU NYUMBANI

"Home Sweet Home"

Thursday, 21 January 2016

ADHA YA MVUA JIJINI DAR

›
MFANYAKAZI: samahani Boss leo sitaweza kuja kazini maana ninapoishi maji yamejaa kila mahala hakuna pa kupita. Nipo kama kisiwani hapa. BOS...

DKT.MAGUFULI: RAIS WA MANENO NA VITENDO

›
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya ku...
Wednesday, 20 January 2016

BODABODA: HII SASA MMEPITILIZA

›
Linapokuja suala la usafiri wa haraka na uhakika,bodaboda zimekuwa na mchango mkubwa sana, ila kwasasa ukiukwaji wa sheria hasa usalama lime...

PATA UMBEA KIDOGO

›
Wizi mtupu............................

MWANAMAMA KATIKA UBUNIFU

›
Tuesday, 19 January 2016

KAMPUNI YA KONYAGI YAFANYA TAMASHA LA KUONJA WINE INAZOTENGENEZA

›
Kampuni ya Konyagi ambayo ni kampuni tanzu ya TBL Group hivi karibuni iliandaa tamasha la kuonja vinywaji vya wine vinavyotengenezwa na kam...

KASI YA MHE RAIS MAGUFULI YAANZA KUGUSA MAISHA YA NYUMBANI

›
Kwa baadhi ya watu ambao walikuwa wamejijengea hali fulani ya maisha bila misingi imara,hali imeanza kugeuka.
Monday, 18 January 2016

TANZIA: MWANDISHI WA KITABU CHA NGOSWE

›
mwandishi, muigizaji na mhadhiri wa chuo kikuu cha Daresalaam na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa vitabu nchini (UWAVITA ), Edwin Semzab...
Sunday, 17 January 2016

TCRA WATUMBUA MAJIPU VITUO VYA REDIO NA TV

›
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya TV kikiwemo kituo cha Star TV, Radio free Afrika, Kiss Fm na Uhuru FM kw...
Saturday, 16 January 2016

MEYA WAPYA KINONDONI NA ILALA DAR WAPATIKANA

›
Wafuasi wa Ukawa wakimpongeza Boniface Jacob (aliyesimama mbele) baada ya kushinda umeya wa Kinondoni. Hatimaye leo uchaguzi wa meya wa hal...
‹
›
Home
View web version
My photo
Nicky Mwangoka
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
View my complete profile
Powered by Blogger.