KARIBU NYUMBANI
"Home Sweet Home"
Friday, 31 October 2014
KATUNI YA LEO
›
Tazama namna ushirikina unavyoleta ukatili dhidi ya ubinadamu.
Thursday, 30 October 2014
TUCHAPE KAZI ILA KWA UMAKINI
›
Chombo hiki kinachosaidia kuingiza kipato hakika hakitumiki vizuri. Kama kweli wahitaji kipato endelevu, jali na tunza pia kifaa cha kazi.
SIMANZI ZAMBIA
›
Ni juzi tu wamesherehekea miaka 50 ya Uhuru wa nchi yao, ila jana Zambia imempoteza Rais wao Mhe. Sata huko London alipokuwa akipata matiba...
UTANI MWINGINE WAHITAJI UJASIRI
›
Watoto wana namna nyingi za kufanya matani ila matani mengine yahitaji ujasiri mkubwa kuyakubali . Hapa huyu mtoto akiamua kufanya majaribio...
HUU NAO NI UBUNIFU
›
UBUNIFU
›
Katika kuboresha maisha na kuleta mvuto zaidi kimazingira, ubunifu ni muhimu. Ubunifu katika michezo
Tuesday, 28 October 2014
MISAADA ISIVYOTUMIKA VIZURI
›
Hivi kweli tuliomba msaada wa net kujikinga na malaria au kuzikinga mboga zetu na malaria au wanyama/ndefu/wadudu waharibifu?
YAWEZEKANA KWELI KWAMBA MADREVA WETU HAWAJUI KUSOMA AU NI DHARAU???
›
Monday, 27 October 2014
KUMEKUCHA TUKAWAJIBIKE
›
Tulikotoka ni mbali , pengine asubuhi hii ndo unapasha ugali moto ule uwahi majukumu yako kama ni shule au kazini. Yote maisha, twende tukaw...
1 comment:
Sunday, 26 October 2014
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
›
‹
›
Home
View web version