KARIBU NYUMBANI

"Home Sweet Home"

Wednesday, 16 July 2014

KIKOSI BORA CHA FIFA KOMBE LA DUNIA 2014

›
Wachezaji hawa wamechanguliwa kutoka timu za mataifa mbalimbali ili kuunda kinachoitwa Kikosi bora cha FIFA 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YAMETOKA

›
Wanafunzi wa Kidato cha sita mwaka huu walifanya mitihani yao ya kuhitimu mwezi Mei 5/21. Matokeo ya mitihani hiyo tametangazwa leo ambapo k...
Tuesday, 15 July 2014

MBUNGE WA KALENGA Mhe. GODFREY MJIMWA ATOA MSAADA WA BATI

›
Katika kutekeleza ahadi zake kwa wanajimbo lake tangu achaguliwe kuwa Mbuge kushika nafasi ya Marehemu Baba yake, Waziri wa Fedha W.Mjimwa, ...

MADUKA MWANANYAMALA YATEKETEA KWA MOTO

›
Mojawapo ya maduka hao yakiwa yanateketea bila msaada wowote wa kuzima moto huo ambao ulionekena kuwa mkali sana.
Monday, 14 July 2014

JIJI LA DAR LAZIDI KUPENDEZA

›
Mwonekano wa Jiji la Dar maeneo ya Mchafukoge na Kariakoo. Katikati ni Bustani ya Mnazi Mmoja mahali sherehe za Uhuru 1961 zilifanyika. Kwa ...
1 comment:

UNYENYEKEVU WA VIONGOZI WETU KUWAUNGANISHA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO

›
Mhe.Jakaya Kikwete, Rais wa Tanzania akiwa na mke wake Mama Salma wakinunua mahitaji ya nyumbani katika genge la mbogamboga huko Tanga Mhe ...

BUNGE LA KATIBA

›

MKE WA MBUNGE ATOA MSAADA-KUTOA NI MOYO SIO UTAJIRI

›
Arafa Mohamed,mke wa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete ametoa msaada wa vyombo vya ndani na tende kwa familia zinazoishi katika mazin...

WAJERUMANI NA SHANGWE ZA KUNYAKUA KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014

›

TUZO ZA KOMBE LA DUNIA

›
Mchezaji bora kombe la dunia Lionel Messi-Argentina Golikipa bora Manuel Neuer-Germany
‹
›
Home
View web version
My photo
Nicky Mwangoka
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
View my complete profile
Powered by Blogger.