KARIBU NYUMBANI
"Home Sweet Home"
Monday, 12 May 2014
HAPANA CHEZEA URUSI
›
Hivi ni baadhi ya vifaa vya kijeshi vilivyoonyeshwa siku ya Mashujaa Urusi hivi karibuni Kwa shabaha hizi utatunguliwa tu
Sunday, 11 May 2014
MANCHESTER CITY MABINGWA PREMIER LEAGUE CHAMPIONS
›
1 comment:
SIKU YA MAMA DUNIANI
›
Hongereni kina mama wote na poleni sana kwa majukumu mengi kwa familia na jamii. Nakupenda mama yangu.
1 comment:
Saturday, 10 May 2014
HUU NDO MCHE WA MKARAFUU
›
Mambo ya Zanzibar kwanza
LEO NI SIKU YA NDEGE WAHAMAO DUNIANI
›
MAADHIMISHO YA SIKU YA NDEGE WAHAMAO DUNIANI TAREHE 10 – 11 MEI 2014 Maadhimisho ya Siku ya Ndege Wahamao Duniani ni siku ambayo huadhi...
Friday, 9 May 2014
NIMEAMINI ULE MSEMO: BORA PUNDA AFE MZIGO UFIKE
›
Hapo halitoki hadi hizo ndizi zote zitaivia hapo
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI
›
Wakati mwingine navutwa kuamini kuwa nayejua mateso na mahangaiko ya mhitaji ni yule aliyepitia hali hiyo au yupo katika hali hiyo japo kwa ...
AJALI-DAR EXPRESS
›
Basi la Kampuni ya Dar Express T580CEP limepata ajali leo majira ya saa nne asubuhi maeneo ya Wami. Lilikuwa likitokea Dar es Salaam kueleke...
JE WAMJUA MFANYABIASHARA MAARUFU NIGERIA??
›
Si mwingine bali ni Mhe. Alhaj Aliko Dangote Hapa Rais wa Tanzania Mhe. Dk Jakaya Kikwete akisalimiana na mfanyabiashara huyo maarufu ambay...
JAMANI HATA BAADA YA MIAKA 50 YA MUUNGANO TANZANIA!!!
›
Pamoja na kazi nzuri za kimaendeleo zinazofanywa na Serikali, ila kwa wakazi wa eneo hili Wilayani Hai/Kilimanjaro wanapata adha kubwa sana....
‹
›
Home
View web version