KARIBU NYUMBANI
"Home Sweet Home"
Thursday, 6 December 2012
TUWAKUMBUKE NA WATOTO HAWA
›
Tunapokuwa katika harakati za kuboresha maisha na kuinua kipato, tukijaaliwa na mola tukumbuke katika matumizi yetu na matendo yetu ya kila...
3 comments:
Wednesday, 5 December 2012
WIZI MTUPU
›
Picha hii inanikumbusha ule ujanja wa mbuni kuchimbia kichwa chacke kwenye kichaka huku mwili wote upo nje kana kwamba anajificha. Huyu j...
1 comment:
UBUNIFU/KUIGA
›
Baada ya kuiona picha ya ubunifu wa michezo ya watoto, warembo hawa nao wakatengeneza yao
1 comment:
Tuesday, 4 December 2012
VIPAJI TULIVYONAVYO BINADAMU
›
Hii ni live, dada Angel alipotembelea Mbuga za wanyama Afrika ya Kusini. Hapa ni sehemu wanapoita "Lion Encounter"
1 comment:
SIO TISHIO, NI MANENO YAGUSAYO
›
1 comment:
UTAFUTAJI WA KIMASHA MASHAKA
›
Hii inanikumbusha msemo "Punda afe mzigo ufike", Ni kweli tunapaswa kujitahidi kutafuta, lakini ni kwa namna gani tunatafuta na...
UJUMBE WA LEO
›
Ndege anapokuwa hai huwa anakula sana funza, lakini atakapokufa funza humla yeye. Maisha hubadilika kila wakati hivyo usimdharau wala kumu...
Monday, 3 December 2012
MTOTO UMLEAVYO - 1
›
1 comment:
WIKI IMEANZA
›
Pilika pilika za maisha zimeanza tena. Ni mwanzo wa wiki, nami nawatakia wadua kila la kheri katika uchacharikaji wa kufanya maisha kuwa bo...
Sunday, 2 December 2012
SIDHANI KAMA INASAIDIA
›
Jana tulikuwa tunaadhimisha siku ya Ukimwi Duniani, nikamwona huyu jamaa yangu na kujiuliza kama hii ndo gear ya kuzuia maambukizi, basi ...
‹
›
Home
View web version