KARIBU NYUMBANI
"Home Sweet Home"
Friday, 1 January 2010
HERI YA MWAKA MPYA 2010
›
Nawatakieni kheri ya mwaka mpya 2010 wadau waheshimika. Nawaombeeni ili mwaka huu tuuanze vyema na tuendelee kujitahidi katika kila jema tuw...
5 comments:
Saturday, 19 December 2009
MFULULIZO WA MARAHA KUELEKEA XMAS NA MWAKA MPYA
›
Ndafu wa nguvu Kumbi zilizopambwa zikapambika Mwanamama Tshalla Muana stejini JB Mpiana na jopo zima
5 comments:
Saturday, 19 September 2009
SAFARINI
›
Kumradhi wadau, nilipata safari ya ghafla kuelekea Kijijini kwa Bibi na Babu kuhani msiba wa Baba yangu mzazi, na mtandao huku hakuna kabisa...
7 comments:
Wednesday, 2 September 2009
JANA, LEO,je na kesho tena iwe hivi hivi?
›
6 comments:
Tuesday, 1 September 2009
KOMOA UKOMOLEWE ! au BILA BILA!
›
2 comments:
KARIBU DAR ES SALAAM ZOO
›
Watanzania wenzangu,kumbe kuna fahari yetu imejisimika ndani ya DAR ES SALAAM ZOO, tujongee tukajionee wenyewe kama kwenda Serengeti au Ngor...
Monday, 31 August 2009
MASANJA WA ORIJINO KOMEDI KWENYE BLOG
›
Masanja nae kaibuka kwenye blog na amekuja na kitu kinaenda kwa jina la www.mkandamizaji.blogspot.com Karibuni wadau kwenye kiwanja kipya hi...
5 comments:
MWISHO WA MWEZI
›
Mwisho wa mwezi umewadia, tunapoganga yaliyopita,pengine picha hii inaweza kukukumbusha mengi. Zingatia kusamehe waliochukizwa na mafanikio ...
1 comment:
Sunday, 30 August 2009
WADAU NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA
›
"Bila msaada wa Bwana ,kazi zenu ni bure....." Tujitahidi kumweka Mungu mbele katika yote nae atatujalia yale tuyahitajio. Ni siku...
2 comments:
Saturday, 29 August 2009
NOTI MPYA YA SHILINGI 2,000
›
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa noti mpya za Sh2,000 ambazo zitatumika sanjari na zilizopo kwenye mzunguko kwa sasa. Gavana wa BoT, Profe...
2 comments:
‹
›
Home
View web version