KARIBU NYUMBANI

"Home Sweet Home"

Monday, 31 August 2009

MASANJA WA ORIJINO KOMEDI KWENYE BLOG

›
Masanja nae kaibuka kwenye blog na amekuja na kitu kinaenda kwa jina la www.mkandamizaji.blogspot.com Karibuni wadau kwenye kiwanja kipya hi...
5 comments:

MWISHO WA MWEZI

›
Mwisho wa mwezi umewadia, tunapoganga yaliyopita,pengine picha hii inaweza kukukumbusha mengi. Zingatia kusamehe waliochukizwa na mafanikio ...
1 comment:
Sunday, 30 August 2009

WADAU NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA

›
"Bila msaada wa Bwana ,kazi zenu ni bure....." Tujitahidi kumweka Mungu mbele katika yote nae atatujalia yale tuyahitajio. Ni siku...
2 comments:
Saturday, 29 August 2009

NOTI MPYA YA SHILINGI 2,000

›
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa noti mpya za Sh2,000 ambazo zitatumika sanjari na zilizopo kwenye mzunguko kwa sasa. Gavana wa BoT, Profe...
2 comments:

ASILI YETU ZAMANI HIZO

›
3 comments:

LOH, KUMBE NA SISI TUNA VIFAA!!

›
Hivi na vingine vingi vilionyeshwa siku ya Maadhimisho ya Miaka 45 ya JWTZ

BARABARA ZETU NA ADHA YA USAFIRI

›
Friday, 28 August 2009

USALAMA WA MABASI YA ABIRIA:Yote kufungwa mikanda

›
Akizungumza jijini Dar es salaam jana, Kombe alisema suala la kufunga mikanda katika mabasi sio jambo la hiari na halina mjadala ni wajibu w...
3 comments:

MUITE AKUPAMBIE NA KUIPENDEZESHA SHEREHE YAKO

›
Sherehe za kisasa na wataalamu wa kisasa. Mualike Mpendwa huyu akufanikishie shehere yako kwa mapambo ya kisasa kabisa. Mtembelee katika Blo...

WEEKEND HODIIIIII

›
Hodi wenyewe, mpoooo?
2 comments:
‹
›
Home
View web version
My photo
Nicky Mwangoka
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
View my complete profile
Powered by Blogger.