KARIBU NYUMBANI

"Home Sweet Home"

Monday, 20 April 2009

LINDO / ULINZI WA KIBONGOBONGO

›

MKUU MPYA WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM

›
Pichani ni Mkuu Mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. William Lukuvi ambaye amechukua nafasi ya Mh.Abbas Kandoro ambaye amehamishiwa jijini Mwan...
Sunday, 19 April 2009

MISIMU 4 YA MWAKA

›
SPRING SUMMER AUTUMN WINTER Picha hizi zaonyesha misimu 4 ya mwaka inavyokuwa katika maeneo yanayopat...

MLIMA KILIMANJARO-FAHARI YA NYUMBANI

›
Bango lililopo juu ya Mlima Kilimanjaro Mlima kilimanjaro unavyoonekana ukiwa Horombo Hut Mlima Kilimanjaro unavyoonekana ukiwa katika uwan...

POOL TABLE

›
Watoto wa nyumbani ni wabunifu sana. Hawataki kuachwa nyuma katika michezo mbalimbali. Hapa wanacheza "Pool table" ambao huko ugha...

WATANI WA JADI UWANJANI NYUMBANI LEO

›
Hizi ni timu za YANGA NA SIMBA ambapo tangu zamani zimekuwa zikichuana sana katika mpira wa miguu Soka nyumbani.
Saturday, 18 April 2009

ENZI ZA CHAKUBANGA NA POLO

›

BABA

›
Baba wa nyumbani Rais J.Kikwete karejea nyumbani leo akitokea ziarani Saudia. Hapa ni Mheshimiwa Makamu wa Rais Dk.Shein akimpokea uwanja wa...

MAMA NA MWANA

›
Picha hizi mbili zaonyesha namna tofauti za ubebaji wa watoto. Najaribu kujiuliza ni njia sahihi, na kama ndio pia ni ipi inaonyesha zaidi u...

NGOZI ASILIA YA MTU ASILIA

›
Picha kwa hisani ya Yasinta Ngonyani
‹
›
Home
View web version
My photo
Nicky Mwangoka
Mpenda nyumbani nimeamua kuungana nanyi kuwaletea blog hii maalum inayowapa habari za nyumbani Tanzania na habari toka sehemu mbalimbali lakini zenye lengo la kuelimisha,kukosoa,kupongeza na kuburudisha jamii. Karibuni Nyumbani!
View my complete profile
Powered by Blogger.