Saturday 29 June 2013

NATURAL BEAUTY

Courtesy of Yasinta Ngonyani

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WADAU

Imeandikwa utakula kwa jasho/tabu. Mungu aiona taabu yako, jitahidi na mtumaini yeye kwani ni muweza wa yote na atatenda kwa wakati. Ila jamani kuna kazi nyingine zatesa si kidogo, cheki jamaa alivyotota tope.

Wednesday 5 June 2013

ONE DAY YES

Kufuatia foleni za barabarani jijini Dar kwa sasa, yawezekana ubunifu huu ukasaidia